Eric Cornell

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eric Cornell

Eric Allin Cornell (amezaliwa 19 Desemba, 1961) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa anachunguza chembe za atomu. Mwaka wa 2001, pamoja na Carl Wieman na Wolfgang Ketterle, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eric Cornell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.