Carl Wieman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Carl Wieman mwaka 2011

Carl Edwin Wieman (amezaliwa 26 Machi, 1951) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza chembe za atomu, na pia amejitahidi kuboresha jinsi inavyofundishwa sayansi shuleni. Mwaka wa 2001, pamoja na Eric Cornell na Wolfgang Ketterle, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carl Wieman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.