Emmanuel Mbogo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Emmanuel Mbogo ni mwandishi nguli wa vitabu vya fasihi kama vile riwaya na tamthilia kutoka nchini Tanzania.

Miongoni mwa tamthilia zake, inayompa umaarufu zaidi ni Morani, pia riwaya ya Watoto wa Maman'tilie ambavyo hutumika sana katika mtaala wa elimu ya Tanzania.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Emmanuel Mbogo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.