Donald Agu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Donald Agu (alizaliwa 12 Desemba 1975) ni mchezaji wa kandanda aliyestaafu katika timu ya taifa ya Nigeria.

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Agu Alianza kazi yake katika klabu ya Enugu Rangers, pia mnamo mwaka 1994, alienda kucheza Ulaya,awali katika klabu ya FK Obilić katika Ligi ya Kwanza ya FR Yugoslavia kwa msimu mmoja, kabla ya kuhamia Italia kuichezea klabu ya Salernitana Calcio.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Donald Agu". worldfootball.net. Iliwekwa mnamo 23 February 2012.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Donald Agu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.