Dire Dawa
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Dire Dawa | |
| Kitovu cha mji wa Dire Dawa | |
| Mahali pa mji wa Dire Dawa katika Ethiopia | |
| Anwani ya kijiografia: 9°36′N 41°52′E / 9.6°N 41.867°E | |
| Nchi | Ethiopia |
|---|---|
| Mkoa | Dire Dawa |
| Idadi ya wakazi | |
| - Mji | 607,321 |
Dire Dawa, 1906
Dire Dawa (Kiamhari: ድሬ ዳዋ) ni mji nchini Ethiopia. Ina cheo cha mji wa kujitawala (ras gez astedader) kama jimbo la Ethiopia. Idadi ya wakazi wake ni takriban 607,321.
Tazama pia [hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Dire Dawa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |