Dini za Abrahamu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nembo za dini za Abrahamu: juu kushoto msalaba wa Ukristo, nyota na hilali vya Uislamu, nyota ya ncha tisa ya Bahá'í, nyota ya Daudi ya Uyahudi.
Dini kuu duniani na asilimia ya waumini kati ya binadamu wote.

Dini za Abrahamu, ni dini zenye asili katika Mashariki ya Kati ambazo zinashika imani katika Mungu mmoja tu.[1]

Asili

Dini hizo zinamchukua Abrahamu kama kielelezo cha mwamini na rafiki wa Mwenyezi Mungu.[2][3] Dini kuu za jamii hiyo (kadiri ya tarehe ya kutokea) ni: Uyahudi (KK), Ukristo (karne ya 1 BK) na Uislamu (karne ya 7),[4][5][6][7] mbali na nyingine ndogo zaidi zilizotokana nazo, kama Baha'i (karne ya 19).

Uenezi

Inakadiriwa kwamba 54% za watu wote duniani wanafuata mojawapo kati ya dini hizo, zikiwemo: Ukristo (33%), Uislamu (21%) na Uyahudi (0.2%).[8][9]

Tanbihi

  1. Spirituality and Psychiatry - Page 236, Chris Cook, Andrew Powell, A. C. P. Sims - 2009
  2. "Philosophy of Religion". Encyclopædia Britannica. 2010. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 21 July 2010. Iliwekwa mnamo 24 June 2010.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  3. C.J. Classification of religions: Geographical. Encyclopædia Britannica, 2007. Accessed: 15 May 2013
  4. Massignon 1949, pp. 20–23
  5. Smith 1998, p. 276
  6. Derrida 2002, p. 3
  7. * "Why "Abrahamic"?". Lubar Institute for Religious Studies at U of Wisconsin. Iliwekwa mnamo 3 March 2012.  Check date values in: |accessdate= (help)
  8. The numbers were based on upper bounds and do not add to 100%. Hunter, Preston. "Major Religions of the World Ranked by Number of Adherents". Adherents.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-06-15. Iliwekwa mnamo 2016-01-09.  Unknown parameter |= ignored (help) Archived 22 Aprili 2011 at the Wayback Machine.
  9. "Worldwide Adherents of All Religions by Six Continental Areas, Mid-2002". Encyclopædia Britannica. 2002. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 March 2007. Iliwekwa mnamo 15 September 2014.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.