Didier Kavumbagu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Didier Kavumbangu (alizaliwa 2 Mei 1988) ni mchezaji wa soka wa Timu ya taifa ya Burundi. Anacheza katika klabu ya Viktoria Otrokovice kama (mshambuliaji); pia alishawahi kucheza soka la kulipwa nchini Tanzania katika klabu ya Dar es Salaam Young Africans na baadae kujiunga klabu ya Azam F.C. iliyopo pia Dar es Salaam, Chamanzi.

kazi ya kitaifa[hariri | hariri chanzo]

Aliitwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Burundi katika mashindano ya kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika ya mwaka 2012 na alifunga magoli mawili katika timu yake.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Didier Kavumbagu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.