Chude Pam Allen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chude Pamela Parker Allen (pia anajulikana kama Pamela Parker, Chude Pamela Allen, Chude Pam Allen, Pamela Allen, na Pam Allen; alizaliwa mnamo mwaka 1943) ni mwanaharakati wa haki za binadamu na haki za wanawake wa nchini Marekani. Alikuwa mwanzilishi wa taasisi ya New York Radical Women.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chude Pam Allen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.