Dudumizi
Mandhari
(Elekezwa kutoka Centropodinae)
Dudumizi ni ndege wakubwa kadiri wa jenasi Centropus, jenasi pekee ya nusufamilia Centropodinae katika familia Cuculidae. Wana macho mekundu na mkia mrefu, na ukucha wa kidole kikabilicho nyuma ni mrefu sana. Jina “Centropus” linatoka maneno ya Kiyunani: κεντρον = mwiba na πους = mguu. Spishi nyingi zina mabawa kahawianyekundu na kichwa cheusi. Dudumizi hula wadudu, mijusi, nyoka na wanyama wadogo, na mayai, makinda, matunda na mizoga pia. Tago lao hujengwa katika uoto mzito na mara nyingi juu yake imefungwa. Jike hutaga mayai 2-5, lakini dume, ambaye ni mdogo zaidi, huatamia na hutunza makinda.
Spishi za Afrika
[hariri | hariri chanzo]- Centropus anselli, Dudumizi wa Gabon (Gabon Coucal)
- Centropus burchellii, Dudumizi wa Burchell (Burchell's Coucal)
- Centropus cupreicaudus, Dudumizi Mkia-shaba (Coppery-tailed Coucal)
- Centropus grillii, Dudumizi Mweusi (Black Coucal)
- Centropus leucogaster, Dudumizi Koo-jeusi (Black-throated Coucal)
- Centropus monachus, Dudumizi Kichwa-buluu (Blue-headed Coucal)
- Centropus senegalensis, Dudumizi Kichwa-cheusi (Senegal Coucal)
- Centropus superciliosus, Dudumizi Nyusi-nyeupe (White-browed Coucal)
- Centropus toulou, Dudumizi wa Madagaska Malagasy Coucal
Spishi za Asia
[hariri | hariri chanzo]- Centropus andamanensis (Andaman Coucal)
- Centropus ateralbus (White-necked Coucal)
- Centropus bengalensis (Lesser Coucal)
- Centropus bernsteini (Black-billed Coucal)
- Centropus celebensis (Bay Coucal)
- Centropus chalybeus (Biak Coucal)
- Centropus chlororhynchus (Green-billed Coucal)
- Centropus goliath (Goliath Coucal)
- Centropus melanops (Black-faced Coucal)
- Centropus menbeki (Ivory-billed Coucal)
- Centropus milo (Buff-headed Coucal)
- Centropus nigrorufus (Sunda Coucal)
- Centropus phasianinus (Pheasant Coucal)
- Centropus rectunguis (Short-toed Coucal)
- Centropus sinensis (Greater Coucal)
- Centropus spilopterus (Kai Coucal)
- Centropus steerii (Black-hooded Coucal)
- Centropus unirufus (Rufous Coucal)
- Centropus violaceus (Violaceous Coucal)
- Centropus viridis (Philippine Coucal)
Spishi ya kabla ya historia
[hariri | hariri chanzo]- Centropus collosus (Quaternary ya Green Waterhole Cave, Tantanoola, Australia ya Kusini)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Dudumizi wa Burchell
-
Dudumizi mkia-shaba
-
Dudumizi mweusi
-
Dudumizi kichwa-buluu
-
Dudumizi kichwa-cheusi
-
Dudumizi nyushi-nyeupe
-
Dudumizi wa Madagaska
-
Andaman coucal
-
Lesser coucal
-
Bay coucal
-
Green-billed coucal
-
Goliath coucal
-
Sunda coucal
-
Pheasant coucal
-
Greater coucal
-
Rufous coucal
-
Philippine coucal