Aretha Franklin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Aretha Franklin
Aretha Franklin akitumbuiza kunako 2007
Aretha Franklin akitumbuiza kunako 2007
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Aretha Louise Franklin
Amezaliwa (1942-03-25)25 Machi 1942[1] - 16 August 2018
Memphis, Tennessee,
United States
Asili yake Detroit, Michigan, U.S.
Kazi yake Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mpigaji piano
Ala Kuimba, piano
Aina ya sauti Mezzo-soprano
Miaka ya kazi 19562018
Studio Columbia (1960–1966)
Atlantic (1967–1979)
Arista (1980–2003)
Aretha (2004–2018)
Ame/Wameshirikiana na The Sweet Inspirations, Carolyn Franklin, Erma Franklin, Cissy Houston, George Benson, George Michael, Michael McDonald, Mahalia Jackson, Julien Gobinet, Albertina Walker


Aretha Louise Franklin (25 Machi 1942 - 16 Agosti 2018) alikuwa mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, na mpigaji piano kutoka Marekani, ambaye mara nyingi huitwa "Malkia wa Soul". Ingawa alitamba sana kwa rekodi za muziki wa soul, Franklin pia alikuwepo kwenye jazz, rock, blues, pop, R&B na gospel.

Mnamo mwaka wa 2008, gazeti la muziki la Kimarekani, Rolling Stone limempa nafasi ya kwanza kwenye orodha yake ya Waimbaji Bora wa Karne.[2]

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Albamu maarufu[hariri | hariri chanzo]

  • 1967 I Never Loved A Man The Way I Love You
  • 1967 Aretha Arrives
  • 1968 Lady Soul
  • 1968 Aretha Now
  • 1968 Aretha in Paris
  • 1969 Soul '69
  • 1969 Aretha's Gold (Out Of Print)
  • 1970 '[[This Girl's In Love With You
  • 1970 Spirit In The Dark
  • 1971 Live At Fillmore West
  • 1971 'Aretha's Greatest Hits (Out Of Print)
  • 1972 Young, Gifted And Black
  • 1972 Amazing Grace
  • 1973 Hey Now Hey (The Other Side Of The Sky)
  • 1974 Let Me In Your Life
  • 1974 With Everything I Feel In Me (Out Of Print)
  • 1975 You (Out Of Print)
  • 1976 Sparkle]]
  • 1976 Ten Years Of Gold (Out Of Print)
  • 1977 Sweet Passion (Out Of Print)
  • 1978 Almighty Fire (Out Of Print)
  • 1979 La Diva (Out Of Print)
  • 1980 Aretha (Out Of Print)
  • 1981 Love All The Hurt Away (Out Of Print)
  • 1982 Jump To It (Out Of Print)
  • 1983 Get It Right
  • 1985 Who's Zoomin' Who?
  • 1986 Aretha (Out Of Print)
  • 1987 One Lord, One Faith, One Baptism
  • 1989 Through The Storm (Out Of Print)
  • 1991 What You See Is What You Sweat (Out Of Print)
  • 1994 Greatest Hits 1980-1994 (Out Of Print)
  • 1998 A Rose Is Still A Rose
  • 2001 Aretha's Best *
  • 2003 So Damn Happy (Out Of Print)
  • 2007 Jewels In The Crown: All-Star Duets With The Queen
  • 2008 This Christmas

Vibao vikali katika Kumi Bora ya US[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Jina Nafasi
1967 "I Never Loved a Man (The Way I Love You)" 9
1967 "Respect" 1
1967 "Baby I Love You" 4
1967 "(You Make Me Feel Like) A Natural Woman" 8
1967 "Chain of Fools" 2
1968 "(Sweet Sweet Baby) Since You've Been Gone" 5
1968 "Think" 7
1968 "The House That Jack Built" 6
1968 "I Say a Little Prayer" 10
1971 "Bridge Over Troubled Water" / "Brand New Me" 6
1971 "Spanish Harlem" 2
1971 "Rock Steady" 9
1972 "Day Dreaming" 5
1973 "Until You Come Back to Me (That's What I'm Gonna Do)" 3
1985 "Freeway of Love" 3
1985 "Who's Zoomin' Who" 7
1987 "I Knew You Were Waiting (For Me)" (akiwa na George Michael) 1

Filmografia[hariri | hariri chanzo]

  • The Blues Brothers (1980)
  • Motown 40: The Music Is Forever (1998) (ABC-TV documentary)
  • Blues Brothers 2000 (1998)
  • DIVAS LIVE (1998)
  • Immaculate Funk (2000) (documentary)
  • Rhythm, Love and Soul (2002)
  • Tom Dowd & the Language of Music (2003) (documentary)
  • Singing in the Shadow: The Children of Rock Royalty (2003) (documentary)
  • From The Heart / The Four Tops 50th Anniversary and Celebration (2004)
  • Atlantic Records: The House that Ahmet Built (2007) (documentary)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Aretha Franklin
  2. "The 100 Greatest Singers of All Time". Rolling Stone (1066): 73. 2008-11-27. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-05-05.  Unknown parameter |= ignored (help)

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aretha Franklin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.