Annie Wersching
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Annie Wersching | |
|---|---|
Wersching kwenye msimu wa 7 wa 24', 2009 |
|
| Amezaliwa | 28 Machi 1977 |
| Kazi yake | Mwigizaji |
| Miaka ya kazi | 2002–hadi leo |
| Tovuti rasmi | |
Annie Wersching (amezaliwa tar. 28 Machi 1977) ni mwigizaji wa filamu na televisheni kutoka nchini Marekani. Anajulikana zaidi kwa kucheza kama kachero wa FBI, Renee Walker kutoka katika mfululizo wa kipindi cha televisheni maarufu kama 24.
Viungo vya Nje[hariri]
- Totvuti Rasmi ya Annie Wersching
- Annie Wersching at the Internet Movie Database
- Annie Wersching katika TV.com
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Annie Wersching kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |