Ann Kihengu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ann Kihengu
Utaifamtanzania
ElimuBusiness Administration
CheoCEO
Tuzo2010 Africa Laureate of the Cartier Women's Initiative Award
Taa inayotumia nishati ya jua na chaja sawa na zile zinazosambazwa na Priam.
Taa inayotumia nishati ya jua na chaja sawa na zile zinazosambazwa na Priam.

Ann Kihengu (alizaliwa mwaka 1983) ni mwanamke mjasiriamali aliyepewa tuzo ya mpango wa maendeleo ya wanawake ya mwaka 2010 (Cartier Women's Initiative Awards) kwa kazi yake ya kupata mbadala wa matumizi ya taa za mafuta ya taa na kuweka taa zinazotumia nishati ya jua na chaja za simu zinazotumia mfumo wa sola nchini Tanzania kupitia mtandao wake wa wajasiriamali wadogowadogo.

Kihengu yumo katika mtandao wa wajasiriamali wa dunia uitwao Think Tank.[1][2][3]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Ann Kihengu", Cartier Women's Initiative Awards, 2011-05-24. Retrieved on 2018-05-17. Archived from the original on 2018-05-01. 
  2. "A Ventures Woman lights it up in Tanzania - Ventures Africa", Ventures Africa, 2012-03-04. (en-US) 
  3. Cartier Women's Initiative Awards (2011-08-29), Past Laureate - News from Ann Kihengu, iliwekwa mnamo 2017-10-24 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ann Kihengu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.