Akari Kurishima

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Akari Kurishima (alizaliwa 14 Septemba 1994) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama kiungo wa timu ya taifa ya Japani pamoja na klabu ya Urawa Red Ladies inayoshiriki ligi ya wanawake ya WE League.[1][2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "KURISHIMA AKARI". AFC. 
  2. "Akari Kurishima". Japan Football Association. 
  3. "Akari Kurishima". Global Sports Archive. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Akari Kurishima kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.