Aileen Whelan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Whelan mnamo 2018

Aileen Mary Whelan (alizaliwa 11 Agosti 1991)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza ambae anacheza kama kiungo wa kati au mbele kwa klabu ya Leicester City inayoshiriki Ligi kuu ya Wanawake Uingereza (WSL).[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. The Football Association. "The website for the English football association, the Emirates FA Cup and the England football team". www.thefa.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
  2. The Football Association. "Great Britain Winners of World University Games". www.liverpoolfa.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aileen Whelan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.