Afya ya jamii
Afya ya jamii (kwa Kiingereza: en:Public Health) ni kigezo katika afya ya umma ambayo inajihusisha na afya na ubora wa jamii. Wakati jina jamii linaweza kufafanuliwa wazi, afya ya jamii huelekea kuzingatia maeneo ya kijiografia kuliko binadamu wenye sifa sawa. Baadhi ya miradi, kama vile InfoShare au GEOPROJ huchanganya mfumo wa habari za jiografia na mifumo ya habari zilizopo, ili kuruhusu umma kuchunguza tabia ya jamii yoyote katika Marekani. Kwa sababu afya III (ambayo hufafanuliwa kama ustawi) husukumwa na safu pana ya demografia, vipengele mbalimbali huanza kutoka uwiano wa wakazi wa kundi lenye umri maalum katika matarajio ya kuishi. Hatua za matibabu zinazolenga kuboresha afya ya jamii mbalimbali huanzia kutoka uboreshaji wa upatikanaji wa matibabu ya afya ya mawasiliano ya umma. Juhudi za utafiti wa hivi karibuni zimelenga jinsi mazingira yaliyojengwa na hali ya kiuchumi na ya kijamii yanavyothiri afya. Mafanikio ya afya ya jamii hutegemea uhamisho wa taarifa kutoka kwa wataalamu wa afya ya umma kwa kutumia mawasiliano ya moja kwa moja au moja kwa wengi (mawasiliano kwa wengi).
Afya ya jamii ni “sayansi na sanaa ya kuzuia magonjwa, kurefusha maisha, kusaidia afya za watu kupitia bidii za ushirikiano na uchaguzi bora wa jamii, jumuia, umma na mtu binafsi.” Kuchanganua afya ya jamii na vitisho ni msingi kwa afya ya jamii. “Jamii” husika inaweza kuwa ndogo kama watu watano, kijiji kizima, au inaweza kuwa kubwa kama mabara kadhaa, katika mambo ya milipuko ya maradhi. “Afya” inashirikisha ustawi wa kimwili, akili, na kijamii. Si tu kutokuwako wa ugonjwa au udhaifu, kulingana(kufuatana) na shirika la afya duniani. Afya ya jamii yenye maeneo mengi mbalimbali ya kazi. Kwa mfano, epidimiologia, takwimu za biologia, na huduma za afya yote ni husika. Afya ya mazingira, afya ya jumuia, mienendo ya afya, uchumi wa afya, sera za umma, afya ya akili na usalama wa kazi, mambo ya kijinsia kwa afya, ngono na afya ya uzazi ni sehemu nyingine muhimu.
Afya ya jamii inalenga kuboresha ubora za maisha kwa ukingaji na matibabu za ugonjwa, ikiwamo afya ya akili. Inafanyiwa wakati wa uangalizi wa kesi na viashiria vya afya, na wakati wa ukuzaji wa tabia bora. Mipango inayowamba ya afya ya jamii yenye kusaidia kunawa mikono na kunyonya, utoaji wa chanjo, kuzuia kujiua, na usambazaji was kondomu kudhibiti kuenea magonjwa yanayopata kwa segede.
Kawaida ya afya ya jamii kisasa inahitaji timu za watu wanawofanya kazi mbalimbali ya afya ya jamii. Timu zinaweza zenye watu wanawofanya epidimioliga, takwimu ya bioligia, kusaidia wadaktari, wauguzi wa afya ya jamii, wakunga, mikrobioligia wa kidaktari, wachumi, mwanasocholojia, wazazi “geneticists”, na weneja wa data. Pia, kutegemea haja, maafisa ya afya ya mazingira au mainspekta ya afya ya jamii, “bioethicists”, na hata daktari wa wanyama, wataamalu wa jinsia, wataamalu wa afya ya segede na uzazi wanaweza kuanaitwa kusaidia.
Upatikanaji wa huduma ya afya na mipango ya afya ya jamii ni changamoto ngumu katika nchi zinazoendelea. Miundombinu ya afya ya jamii inaengeneza bado katika nchi hizo.
Usuli
[hariri | hariri chanzo]Kusudi la kazi la afya ya jamii ni kuzuia na kudhibiti magonjwa na madhara wakati wa uangalizi na msaada wa kitendo la afya, jumuiya na mazingira. Magonjwa wengi wanaweza kuzuliwa na kitu rahisi na bila tiba. Kwa mfano, utafiti umeonyesha kwamba kuosha mikona kwa sabuni anaweza kuzuia kuenea magonjwa mengi yanaambukiza. Kwa mambo mengine, ukitibu ugonjwa au ukidhibiti virusi, ugonjwa hatawamba wakati wa mlipuko au najisi wa chakula au maji. Mawasiliano la afya ya jamii, mipango wa chanjo, na usambazaji wa kondomu ni mifano wa bidii la afya ya jamii kwamba inafahamu sana. Bidii kama hii imesaidia sana afya ya umma na imeongeza urefu ya maisha
Afya ya jamii Afrika
[hariri | hariri chanzo]Katika Afrika, afya ya jamii huchukuliwa katika vigezo vitatu:
- Afya ya msingi inahusu hatua ambazo zinalenga familia au mtu binafsi kama vile kunawa mikono, kutumia kinga, tohara n.k.
- Afya ya kati inahusu shughuli zinazozingatia mazingira kama vile kukausha mitaro karibu na nyumba, kukata vichaka na kunyunyizia dawa ili kuzuia wadudu kama mbu.
- Afya ya juu inahusu shughuli zinazofanyika katika hospitali kama upasuaji.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Raslimali ya Elimu
[hariri | hariri chanzo]- Journal wa Mjini Afya,, ISSN: 1468-2869 (umeme) 1099-3460 (karatasi)
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- John Sanbourne Bockoven. Matibabu ya kimaadili katika matibabu ya akili Marekani, New York: Springer Publishing Co, 1963
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Mafanikio katika ushirikiano kat: Utafiti, Elimu na Utekelezaji Ilihifadhiwa 16 Desemba 2009 kwenye Wayback Machine.
- InfoShare
- GEOPROJ Ilihifadhiwa 17 Oktoba 2009 kwenye Wayback Machine.
- Kitendo cha Afya na Watu wa Uhindi Ilihifadhiwa 10 Novemba 2018 kwenye Wayback Machine.
- Utangazaji wa Afya -CDC