Abdullahi Ibrahim Alhassan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abdullahi Ibrahim Alhassan (alizaliwa 3 Novemba 1996), anayejulikana kama Mu'azzam, ni mchezaji wa kandanda wa Nigeria ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Beerschot ya Ubelgiji.

Ushiriki Katika Klabu[hariri | hariri chanzo]

Ushiriki Wa Awali Alhassan alizaliwa Kano na alikua akiwaunga mkono wababe wa ligi ya Nigeria Kano Pillars. Alikuwa mchezaji wa vijana wa F.C. Hearts Academy na upande wa vijana wa Nigeria U-17 na U-20.[1] Wikki Tourists F.C. Mnamo mwishoni mwa 2015,Ibrahim baada ya kupokea ofa kutoka kwa timu za Ubelgiji, Uingereza, Sweden na Kroatia, Alhassan alipata jeraha baada ya majaribio huko klabu ya HNK Rijeka.[2]

Ushiriki Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Alhassan amewakilisha timu za vijana za Nigeria katika ngazi ya U-17 na U-20. Alikuwa sehemu ya Nigeria katika Mashindano ya CAF U-20 2015. Alicheza mara nne wakati timu ya Nigeria iliposhinda ubingwa.

Heshima[hariri | hariri chanzo]

  • Mchezaji Bora wa Mwezi, Tuzo ya blogu wa Ligi ya NPFL: Aprili 2017

[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Alhassan grabs hat trick for Akwa while Nasarawa run riot in NPFL - ESPN FC". Espnfc.us. Iliwekwa mnamo 2017-06-26. 
  2. "Alhassan delighted with Wikki debut". Goal.com. Iliwekwa mnamo 2017-06-26. 
  3. "League Bloggers Award April 2017". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 28 May 2017. Iliwekwa mnamo 25 May 2017.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdullahi Ibrahim Alhassan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.