Abdullah Gül

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abdullah Gül (amezaliwa 29 Oktoba 1950) ni mwanasiasa wa Uturuki ambaye aliwahi kuwa Rais wa 11 wa Uturuki, madarakani kutoka mwaka 2007 hadi 2014. Aliwahi kutumikia kwa miezi minne kama Waziri Mkuu kutoka mwaka 2002 hadi 2003.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdullah Gül kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.