Ndoa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6: Mstari 6:
Katika nchi nyingine inakubalika ndoa kati ya watu wawili ambao mmojawao ana au anaweza kuwa na mwenzi au wenzi wengine pia ([[mitara]] au upali), hususan ndoa ya mwanamume mmoja na wanawake zaidi ya mmoja. Kumbe kwingine hilo ni [[kosa la jinai]].
Katika nchi nyingine inakubalika ndoa kati ya watu wawili ambao mmojawao ana au anaweza kuwa na mwenzi au wenzi wengine pia ([[mitara]] au upali), hususan ndoa ya mwanamume mmoja na wanawake zaidi ya mmoja. Kumbe kwingine hilo ni [[kosa la jinai]].


Tangu [[mwaka]] [[2000]] nchi kadhaa zimeanza kuruhusu ndoa kati ya watu wawili wa [[jinsia]] [[moja]]. Kumbe nchi nyingine zinapinga vikali jaribio hilo kama kinyume cha [[dini]] na [[desturi]] au [[maumbile]] yenyewe.
Tangu [[mwaka]] [[2000]] idadi inayozidi kuongezeka ya nchi zimeanza kuruhusu ndoa kati ya watu wawili wa [[jinsia]] [[moja]]. Kumbe nchi nyingine zinapinga vikali jaribio hilo kama kinyume cha [[dini]] na [[desturi]] au hata [[maumbile]] yenyewe ingawa tabia za kingono kati wanyama wa jinsia moja zimeonekana katika spishi 500 hivi duniani kote.<ref name="ReferenceA">{{cite book | author = Bagemihl, Bruce | title = Biological Exuberance: Animal Homosexuality and Natural Diversity | publisher = St. Martin's Press | year = 1999 | isbn = 978-0-312-25377-6}}</ref><ref name="Biological Exuberance: Animal">{{cite web| last =Harrold | first =Max | title=Biological Exuberance: Animal Homosexuality and Natural Diversity | publisher=[[The Advocate]], reprinted in Highbeam Encyclopedia | date=1999-02-16 | url=http://www.encyclopedia.com/doc/1G1-53877996.html | accessdate = 2007-09-10}}</ref>


[[Takwimu]] zinaonyesha kwamba katika [[ndoa za jinsia moja]] [[uaminifu]] ni mdogo kuliko katika ndoa za jinsia [[mbili]]. Ndoa za wanaume wawili zinasedeka kushinda zile za wanawake wawili<ref>In the Netherlands of the 580 lesbian couples who were married in 2005, 30% were divorced ten years later compared to 18% for heterosexual couples and 15% for gay male couples. {{cite web | url=https://nltimes.nl/2016/03/30/marriages-women-likely-end-divorce |title=Marriages Between Women Most Likely To End In Divorce |author=Janene Pieters |work=NL Times |date=1 March 2016 |accessdate=17 May 2018}}</ref>.
[[Takwimu]] zinaonyesha kwamba katika [[ndoa za jinsia moja]] [[uaminifu]] ni mdogo kuliko katika ndoa za jinsia [[mbili]].{{Fact|date=Juni 2018}}


Uchunguzi mwingi umeonyesha kwamba watu waliofunga ndoa za jinsia moja wana kiwango cha [[talaka]] cha chini sana kikilinganishwa na kile cha watu waliofunga ndoa za jinsia mbili. <ref>{{cite web | url=http://www.psychologytoday.com/articles/199705/lessons-gay-marriage |title=Lessons from a Gay Marriage: Despite stereotypes of gay relationships as short-lived, gay unions highlight the keys to success |author=Marian Jones |work=[[Psychology Today]] |date=1 May 1997 |accessdate=20 April 2011}}</ref><ref name="The Demographics of Same-Se">{{cite journal |title=The Demographics of Same-Sex 'Marriages' in Norway and Sweden |last=Andersson |first=Gunnar |url=http://www-same-sex.ined.fr/WWW/04Doc124Gunnar.pdf |journal=Demography |volume=43 |issue=1 |date=February 2006 |pages=79–98 |format=PDF |doi=10.1353/dem.2006.0001}}</ref> Ndoa za wanaume wawili zinasedeka kushinda zile za jinsia mbili na zile za wanawake wawili.<ref>{{cite web|last1=EL|title=Marital Bliss? Gender Gaps...|url=http://www.genderacrossborders.com/2012/02/27/marital-bliss-gender-gaps-in-dutch-same-sex-divorce-rates/|website=Gender Across Borders|accessdate=26 December 2015}}</ref> 


Kiwango cha talaka cha juu kati ya wanawake kinapatana na takwimu zinazoonyesha kwamba wanawake huanzisha talaka zilizo nyingi.<ref>In the Netherlands of the 580 lesbian couples who were married in 2005, 30% were divorced ten years later compared to 18% for heterosexual couples and 15% for gay male couples. {{cite web | url=https://nltimes.nl/2016/03/30/marriages-women-likely-end-divorce |title=Marriages Between Women Most Likely To End In Divorce |author=Janene Pieters |work=NL Times |date=1 March 2016 |accessdate=17 May 2018}}</ref><ref>{{cite web | url=http://www.psychologytoday.com/articles/199705/lessons-gay-marriage |title=Lessons from a Gay Marriage: Despite stereotypes of gay relationships as short-lived, gay unions highlight the keys to success |author=Marian Jones |work=[[Psychology Today]] |date=1 May 1997 |accessdate=20 April 2011}}</ref> Vilevile utafiti umeonyesha kwamba kuhalalishwa kwa ndoa za watu wa jinsia moja kunahusishwa na upungufu mkubwa wa kiwango cha kujaribu kijiua kati ya watoto.<ref name="jamanetwork.com">{{cite web|title=Difference-in-Differences Analysis of the Association Between State Same-Sex Marriage Policies and Adolescent Suicide Attempts|url=https://jamanetwork.com/journals/jamapediatrics/fullarticle/2604258|website=[[Journal of the American Medical Association|Journal of the American Medical Association: Pediatrics]]}}</ref><ref name="usatoday.com">{{cite web|title=Study: Teen suicide attempts fell as same-sex marriage was legalized|url=https://www.usatoday.com/story/news/nation/2017/02/20/teen-suicide-down-as-same-sex-marriage-legalized-study/98179684/|website=[[USA Today]]|date=February 20, 2017}}</ref><ref name="pbs.org">{{cite web|title=Same-sex marriage laws linked to fewer youth suicide attempts, new study says|url=https://www.pbs.org/newshour/health/same-sex-marriage-fewer-youth-suicide|website=[[PBS]]|date=February 20, 2017}}</ref>
Mara nyingi [[harusi]] inafanyika kwa [[ibada]] maalumu kadiri ya [[dini]] ya wahusika.


Mara nyingi [[harusi]] inafanyika kwa [[ibada]] maalumu kadiri ya [[dini]] ya wahusika.
Baadhi ya [[madhehebu]] ya [[Ukristo|Kikristo]] yanatazama ndoa kati ya [[Ubatizo|wabatizwa]] wawili kuwa [[sakramenti]] ([[Ef]] 5:32): rejea [[Ndoa (sakramenti)]].


Hasa [[Kanisa Katoliki]] linaamini ndoa haiwezi kuvunjwa kwa talaka kutokana na kauli ya [[Yesu]]: "Mungu alichokiunganisha, binadamu asikitenganishe" ([[Mk]] 10:9).
Baadhi ya [[madhehebu]] ya [[Ukristo|Kikristo]] yanatazama ndoa kati ya [[Ubatizo|wabatizwa]] wawili kuwa [[sakramenti]]: rejea [[Ndoa (sakramenti)]]. Hasa [[Kanisa Katoliki]] linaamini ndoa haiwezi kuvunjwa kwa talaka kutokana na kauli ya [[Yesu]]: "Mungu alichokiunganisha, binadamu asikitenganishe" ([[Mk]] 10:9).


==Tanbihi==
==Tanbihi==

Pitio la 19:00, 7 Juni 2018

Pete, alama ya ndoa.

Ndoa ni muungano wa maisha yote kati ya watu wawili au zaidi unaokubaliwa na kuheshimiwa na jamii.

Katika utamaduni wa nchi nyingi uhusiano huo ni kati ya mwanamume mmoja na mwanamke mmoja tu na unalenga ustawi wao na uzazi wa watoto katika familia.

Katika nchi nyingine inakubalika ndoa kati ya watu wawili ambao mmojawao ana au anaweza kuwa na mwenzi au wenzi wengine pia (mitara au upali), hususan ndoa ya mwanamume mmoja na wanawake zaidi ya mmoja. Kumbe kwingine hilo ni kosa la jinai.

Tangu mwaka 2000 idadi inayozidi kuongezeka ya nchi zimeanza kuruhusu ndoa kati ya watu wawili wa jinsia moja. Kumbe nchi nyingine zinapinga vikali jaribio hilo kama kinyume cha dini na desturi au hata maumbile yenyewe ingawa tabia za kingono kati wanyama wa jinsia moja zimeonekana katika spishi 500 hivi duniani kote.[1][2]

Takwimu zinaonyesha kwamba katika ndoa za jinsia moja uaminifu ni mdogo kuliko katika ndoa za jinsia mbili.[onesha uthibitisho]

Uchunguzi mwingi umeonyesha kwamba watu waliofunga ndoa za jinsia moja wana kiwango cha talaka cha chini sana kikilinganishwa na kile cha watu waliofunga ndoa za jinsia mbili. [3][4] Ndoa za wanaume wawili zinasedeka kushinda zile za jinsia mbili na zile za wanawake wawili.[5] 


Kiwango cha talaka cha juu kati ya wanawake kinapatana na takwimu zinazoonyesha kwamba wanawake huanzisha talaka zilizo nyingi.[6][7] Vilevile utafiti umeonyesha kwamba kuhalalishwa kwa ndoa za watu wa jinsia moja kunahusishwa na upungufu mkubwa wa kiwango cha kujaribu kijiua kati ya watoto.[8][9][10]

Mara nyingi harusi inafanyika kwa ibada maalumu kadiri ya dini ya wahusika.

Baadhi ya madhehebu ya Kikristo yanatazama ndoa kati ya wabatizwa wawili kuwa sakramenti: rejea Ndoa (sakramenti). Hasa Kanisa Katoliki linaamini ndoa haiwezi kuvunjwa kwa talaka kutokana na kauli ya Yesu: "Mungu alichokiunganisha, binadamu asikitenganishe" (Mk 10:9).

Tanbihi

  1. Bagemihl, Bruce (1999). Biological Exuberance: Animal Homosexuality and Natural Diversity. St. Martin's Press. ISBN 978-0-312-25377-6. 
  2. Harrold, Max (1999-02-16). "Biological Exuberance: Animal Homosexuality and Natural Diversity". The Advocate, reprinted in Highbeam Encyclopedia. Iliwekwa mnamo 2007-09-10. 
  3. Marian Jones (1 May 1997). "Lessons from a Gay Marriage: Despite stereotypes of gay relationships as short-lived, gay unions highlight the keys to success". Psychology Today. Iliwekwa mnamo 20 April 2011.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  4. Andersson, Gunnar (February 2006). "The Demographics of Same-Sex 'Marriages' in Norway and Sweden" (PDF). Demography 43 (1): 79–98. doi:10.1353/dem.2006.0001.  Check date values in: |date= (help)
  5. EL. "Marital Bliss? Gender Gaps...". Gender Across Borders. Iliwekwa mnamo 26 December 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  6. In the Netherlands of the 580 lesbian couples who were married in 2005, 30% were divorced ten years later compared to 18% for heterosexual couples and 15% for gay male couples. Janene Pieters (1 March 2016). "Marriages Between Women Most Likely To End In Divorce". NL Times. Iliwekwa mnamo 17 May 2018.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  7. Marian Jones (1 May 1997). "Lessons from a Gay Marriage: Despite stereotypes of gay relationships as short-lived, gay unions highlight the keys to success". Psychology Today. Iliwekwa mnamo 20 April 2011.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  8. "Difference-in-Differences Analysis of the Association Between State Same-Sex Marriage Policies and Adolescent Suicide Attempts". Journal of the American Medical Association: Pediatrics. 
  9. "Study: Teen suicide attempts fell as same-sex marriage was legalized". USA Today. February 20, 2017.  Check date values in: |date= (help)
  10. "Same-sex marriage laws linked to fewer youth suicide attempts, new study says". PBS. February 20, 2017.  Check date values in: |date= (help)
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ndoa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.