Kioroha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kioroha ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Waoroha kwenye kisiwa cha Malaita. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kioroha imehesabiwa kuwa watu 38 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kioroha iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kioroha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.