UNECA

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Nembo ya UNECA

UNECA ni kifupisho cha United Nations Economic Commission for Africa yaani Tume ya Umoja wa Mataifa kuhusu Uchumi wa Afrika. Kifupisho kingine ni ECA.

Makao makuu yako Addis Ababa, Ethiopia.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiLettreMini.svg Makala hii kuhusu "UNECA" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.