Zoom (filamu ya 2006)
Mandhari
(Elekezwa kutoka Zoom (2006 film))
Zoom (pia inajulikana kama Zoom:Academy for superheros) ni filamu ya kuchekesha ya Marekani ya mwaka 2006 iliyoongozwa na Peter Hewitt na kuandikwa na David Berenbaum na Adam Rifkin.
Wahusika wakuu wa filamu hii ni Tim Allen, Courteney Cox, Chevy Chase, Spencer Breslin, na Rip Torn.
Filamu hiyo inamuelezea mwanahabari wa zamani ambaye alivutwa katika kuwafundisha vijana wanne wenye nguvu kuwa mashujaa na kupambana na tishio linalokaribia.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Zoom (filamu ya 2006) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |