Zhu Fan Zhi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Zhou Fan Zhi

Zhu Fan Zhi ni kitabu cha Kichina cha karne ya 13 kinachosimulia historia ya safari za kutoka China kuelekea bahari magharibi mwa China.

Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zhu Fan Zhi kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.