Zeinat Olwi
Mandhari
Zeinat Olwi | |
---|---|
Amezaliwa | Zeinat Olwi 1930 |
Amekufa | 1988 |
Jina lingine | Zuhar |
Kazi yake | Mtu |
Zeinat Olwi jina lake la jukwaani alikua anaitwa Zurah, alizaliwa mwaka 1930– na alifariki mwaka 1988) Alikuwa mmoja wa viongozi belly dancers Egypt katika karne ya 20. alionekana kwenye sinenma nyingi Egyptian Golden Age. Moja ya maonyesho yake maarufu zaidi ilikuwa katika sinema ya Henry Barakat's ,mnamo mwaka 1955 Ayyam wa layali (Days and Nights).
Filamu
[hariri | hariri chanzo]- Ayyam wa layali (Days and Nights) (1955)
- video clips for Zeinat Olwi in Egyptian movies
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Zeinat Olwi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |