Zakaria El Azzouzi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Zakaria El Azzouzi (زكريا العزوزي; alizaliwa 7 Mei 1996) ni mchezaji wa sokakutoka Uholanzi-Moroko anayecheza kama mshambuliaji katika klabu ya Al Kharaitiyat.[1]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

El Azzouzi alizaliwa jijini Rotterdam. Ni mchezaji wa vijana wa AFC Ajax. Alianza kucheza mpira tarehe 21 Agosti 2015 akiichezea Jong Ajax dhidi ya NAC Breda. Alicheza mpira ila kwa kufungwa walipoteza 3-0.[2] Tarehe 22 Januari 2016, El Azzouzi alipelekwa kwa mkopo kwenda FC Twente kwa msimu uliosalia[3] na baadaye alihamia Sparta kwa mkopo kwa msimu wa 2016-17.[4]

Alipokuwa bila klabu baada ya mkataba wake na Ajax kuvunjwa mwezi Desemba 2018.[5]

Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

El Azzouzi alizaliwa Uholanzi na wazazi wenye asili ya Moroko. Alicheza kwa niaba ya Moroko katika Mashindano ya vijana ya Afrika ya chini ya miaka 17 ya 2013.[6]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zakaria El Azzouzi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.