Yono Stanley Jilaoneka Kevela
Mandhari
(Elekezwa kutoka Yono Stanley Kevela)
Yono Stanley Jilaoneka Kevela (amezaliwa tar. 13 Desemba 1963) ni mbunge wa jimbo la Njombe Magharibi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Wabunge wa Tanzania
- Tovuti ya Bunge la Tanzania
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Mengi kuhusu Yono Stanley Jilaoneka Kevela". 13 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
| Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Yono Stanley Jilaoneka Kevela kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |