Nenda kwa yaliyomo

Yaroslava Nechaeva

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yaroslava "Yasa" Nechaeva (ambalo pia jina hilo linaweza kuandikwa kama Iaroslava Netchaeva) ni mshindani wa zamani wa densi ya barafu aliyekuwa akishindana na Yuri Chesnichenko kutokea Muungano wa Kisovyeti, Urusi, na Latvia. Kwa sasa anaishi Ann Arbor, Michigan ambapo anafanya kazi kama kocha.[1]

  1. Elvin Walker (2007-09-03). "Netchaeva and Tchesnitchenko Cultivate a Dynasty of Their Own". Golden Skate (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-07-30.