Yaren

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Yaren

Yaren (zamani iliitwa pia "Makwa") ni tarafa kwenye nchi ya kisiwani cha Nauru yenye nafasi ya mji mkuu. Eneo lake ni 1.5 km² kuna wakazi 1,100 (2003).

Kisheria hakuna mji mkuu nchini Nauru lakini karibu majengo yote ya serikali pamoja na bunge yapo Yaren.

Picha za Yaren[hariri | hariri chanzo]