Eneo la Yakoma
Mandhari
(Elekezwa kutoka Yakoma (wilaya))
Eneo la Yakoma liko katika Mkoa wa Ubangi Kaskazini katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Eneo hilo lina wakazi wengi wa kabila la Wangbandi na la Waakpakabeti.
Sekta
[hariri | hariri chanzo]Eneo la Yakoma limegawanywa katika maeneo matatu:
- Abumombazi: vikundi kumi na sita vya vijiji 82
- Wapinda: vikundi sita vya vijiji 68
- Yakoma: vikundi 12 vya vijiji 116
Idadi ya watu
[hariri | hariri chanzo]Ongezeko la Idadi ya Watu
- 1994 = 159,412
- 2004 = 235,800
Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo la Yakoma kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |