William Saliba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

William Alain Andre Gabriel Saliba (alizaliwa 24 Machi 2001 [1]) ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anacheza kama beki wa kati wa klabu ya Ligi ya Premia Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa.[2]

Saliba alianza kucheza mpira akiwa na umri wa miaka sita, kocha wake akiwa ni baba yake Kylian Mbappe.Baadae alihamia Kusini mwa Saint-Etienne mwaka 2016, na kusaini mkataba wake wa kwanza akiwa na umri wa miaka 17 mnamo Mei 2018.

Mnamo 2019 alihamia klabu ya mpira wa miguu ya Arsenal na kusaini mkataba wa muda mrefu ambao ni miaka mitano.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "FIFA U-20 World Cup Poland 2019: List of Players: France". FIFA. 15 May 2019. uk. 4. Iliwekwa mnamo 30 August 2020.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "William Saliba: Overview". Premier League. Iliwekwa mnamo 17 August 2019.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Saliba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.