Nenda kwa yaliyomo

Wilhelm Bleek

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilhelm Bleek

Wilhelm Heinrich Immanuel Bleek (8 Machi 1827 - 17 Agosti 1875) alikuwa mwanaisimu na mwandishi Mjerumani aliyeishi nchini Afrika Kusini. Anajulikana hasa kwa kuandika kitabu cha sarufi ya Kizulu pamoja na tafiti nyingi za lugha za Kibantu.

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wilhelm Bleek kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.