Wilfried Martens

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilfried Martens

Wilfried Achiel Emma Martens (amezaliwa 19 Aprili 1936) ni mwanasiasa kutoka nchi ya Ubelgiji. Alikuwa Waziri Mkuu wa Ubelgiji mara mbili, yaani kuanzia 3 Aprili 1979 hadi 6 Aprili 1981, na tena 17 Desemba 1981 hadi 6 Machi 1992.

Angalia Pia[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wilfried Martens kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.