Nenda kwa yaliyomo

Whitehouse.gov

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tovuti ya awali wakati wa urais wa Bill Clinton mwaka 1995

Whitehouse.gov (pia inajulikana kama wh.gov) ni tovuti rasmi ya Ikulu ya Marekani na inasimamiwa na Ofisi ya Mkakati wa Kidijitali.

Ilizinduliwa mwaka 1994 na utawala wa rais Bill Clinton. Maudhui ya tovuti hii yapo katika eneo la umma au yamepewa leseni ya Creative Commons Attribution.[1]

  1. "Copyright Policy". The White House (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-06-22.