Nenda kwa yaliyomo

Sakata la Whitehall

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Whitehall Mystery)
Picha ya gazeti la wakati huo kuhusu Sakata la Whitehall, inayoonyesha kugunduliwa kwa kiwiliwili cha mwathiriwa.

Sakata la Whitehall ni mauaji yasiyotatuliwa yaliyotokea London mnamo 1888. Mabaki ya mwili wa mwanamke yaliyokatwa vipande vipande yaligunduliwa katika maeneo matatu katikati mwa jiji, ikiwa ni pamoja na eneo la ujenzi la New Scotland Yard, makao makuu mapya ya polisi.[1] Tukio hili ni sehemu ya mauaji yanayojulikana kama Thames Torso Murders.[2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tijana Radeska (2016-10-29). "Scotland Yard is built on a crime scene related to an unsolved murder - the Whitehall Mystery | The Vintage News". thevintagenews (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-06-20.
  2. https://en.wikipedia.org/wiki/Whitehall_Mystery#CITEREFLaurence2012
  3. "HOLMES' (AND OUR) SCOTLAND YARDS, PART 2". Simanaitis Says (kwa Kiingereza). 2017-09-25. Iliwekwa mnamo 2024-06-20.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sakata la Whitehall kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.