Wau (mji) ni mji wa Sudan Kusini, jimbo la Wau.
Idadi ya watu wake ilikadiriwa kuwa 151,320 mwaka 2010.