Watu Wote (filamu)
Mandhari
(Elekezwa kutoka Watu Wote(filamu))
Watu Wote ni filamu fupi ya mwaka 2017 iliyotengenezwa na watu wa Kenya pamoja na watu wa ujerumani, iliyoongozwa na Katja Benrath, kama mradi wake wa kuhitimu katika Shule ya Vyombo vya Habari ya Hamburg[1].
Filamu hiyo inatokana na shambulio la basi la Desemba 2015 lililofanywa na Al-Shabaab huko Mandera, Kenya [2]
Muundo
[hariri | hariri chanzo]Jua, Mkristo anayeishi Kenya, anapanda basi la kukodi kumtembelea jamaa na hana raha kuzungukwa na abiria wa Kiislamu. Basi hilo limesimamishwa na kundi la kigaidi lenye vurugu la Al-Shabaab, ambalo wanachama wake wanawataka Waislamu kuwatambua abiria wa Kikristo. [3] [4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Bill Plympton, Academy Award–Nominated Independent Animator", Producing Independent 2D Character Animation, Routledge, ku. 288–295, 2013-02-11, ISBN 978-0-08-051495-6, iliwekwa mnamo 2022-08-07
- ↑ Hamden, Raymond H. (2018-11-20), "Ethnogeographic Terrorists: Religious and Political", Psychology of Terrorists, CRC Press, ku. 51–64, ISBN 978-1-315-15675-0, iliwekwa mnamo 2022-08-07
- ↑ "Outstanding Dietetics Student Awards, 2017". Journal of the Academy of Nutrition and Dietetics. 117 (9): 1460. 2017-09. doi:10.1016/j.jand.2017.07.011. ISSN 2212-2672.
{{cite journal}}
: Check date values in:|date=
(help) - ↑ "Accused student challenges panel's findings". Student Affairs Today. 19 (12): 10–10. 2017-02-21. doi:10.1002/say.30314. ISSN 1098-5166.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Watu Wote (filamu) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |