Nenda kwa yaliyomo

Warren Worthington III

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Angel (Malaika)
Maelezo ya chapisho
MchapishajiMarvel Comics
Kujitokeza kwanza The X-Men #1 (Sep. 1963)
Waumbaji Stan Lee
Jack Kirby
Maelezo
Jina halisiWarren Kenneth Worthington III
SpishiMutanti
UshirikianoX-Men
X-Force
X-Club
X-Factor
Renegades
Champions of Los Angeles
Defenders/Secret Defenders
Hellfire Club
Horsemen of Apocalypse
X-Terminators
Worthington Industries
Cheyarafim
Lakabu mashuhuriAngel, Avenging Angel, Archangel, Dark Angel, Death
UwezoKama Angel:
Mruko
Mabawa
Kama Archangel:
Mruko
Mabawa ya metali
Mtupo wa nyayo za nyembe


Warren Kenneth Worthington III ni mtu wa hadithi wa ulimwengu wa Marvel Comics. Angel (Kiswahili: Malaika) na baadaye anajulikana kama Archangel (Malaika Mkuu) alikuwa mmoja wa wanachama wa asili wa X-Men. Kwa asili Angel alikuwa na mabawa kama ndege, lakini kama Archangel alikuwa na mabawa ya metali.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Warren Worthington III kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.