Nenda kwa yaliyomo

Wakabile

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro wa mwanamke wa Kabyle katika mavazi ya jadi

Wakabile [1][2] ni kundi la kabila la Waberberi wenye asili ya Kabylia, Algeria, kikienea katika milima ya Atlas, kilomita 160 (maili 100) mashariki mwa Algiers. wanawakilisha idadi kubwa zaidi ya watu wa berberi nchini Algeria na ya pili kwa ukubwa katika Afrika ya Kaskazini.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Centre de Recherche Berbère – Ecriture: Libyque & tifinagh". www.centrederechercheberbere.fr. Iliwekwa mnamo 2021-04-18.
  2. Lanfry, Jacques (1978). "Les Zwawa (Igawawen) d'Algérie centrale (essai onomastique et ethnographique)". Revue des mondes musulmans et de la Méditerranée. 26 (1): 75–101. doi:10.3406/remmm.1978.1825.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wakabile kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.