Vänersborg
Mandhari
Vänersborg ni mji na manispaa nchini Uswidi. Kuna wakazi 21,672 (mwaka 2005).
Jiografia
[hariri | hariri chanzo]Eneo lake ni 11.57 km². Umbali na Jiji la Göteborg ni 107 km. Iko kando ya Ziwa Vänern.
-
Kituo cha gari
-
Edsgatan (Barabara ya Ed)
-
Kanisa la Vänersborg
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Vänersborg kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |