Nenda kwa yaliyomo

Vivumishi ya kuuliza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mifano
  • 'Gari lipi limeharibika?
  • Nyumba ipi inapangishwa
  • Rafiki yupi unampenda sana
  • Kazi gani unaipenda

Vivumishi vya kuuliza ni maneno yanayouliza taarifa ihusuyo nomino au kiwakilishi cha nomino husika.

Mifano
  • Mzee yupi anaumwa?
  • Miti mingapi imekatwa?
  • Unafanya kazi gani?
  • Chakula kipi kitamu?
  • Mwalimu yupi anafundisha vizuri?


Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vivumishi ya kuuliza kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.