Vision DJ
Mandhari
Vision DJ (anayejulikana katika maisha ya binafsi kama Francis Essah Aboagye[1]; alizaliwa 8 Aprili 1987) ni msanii DJ na mwimbaji wa Ghana ambaye ni mtangazaji mwenza wa "Ryse ‘n Shyne" katika Y107.9FM.[2]
Tuzo na Uteuzi
[hariri | hariri chanzo]Tuzo za DJ za Ghana.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.modernghana.com/entertainment/45005/vision-dj-welomes-baby-boy.html
- ↑ https://www.ghanaweb.com/GhanaHomePage/entertainment/I-won-t-quit-DJying-for-music-career-DJ-Vision-409899