Nenda kwa yaliyomo

Viktor Kalachik

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Viktor Kalachik ni mchezaji wa kulipwa wa mchezo wa magongo kutoka Urusi anayechukua nafasi ya mshambuliaji.

Kwa sasa anachezea klabu ya Avtomobilist Yekaterinburg katika Ligi ya Kontinental Hockey (KHL).[1]

  1. Avtomobilist Yekaterinburg's 2010-11 Roster
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Viktor Kalachik kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.