Vanessa Williams

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Vanessa Lynn Williams (amezaliwa Machi 18, 1963) ni mwimbaji, mwigizaji, mtayarishaji, mwanamitindo wa zamani, na Mlimbwende wa Marekani kwa mwaka wa 1984 - kutoka nchini Marekani. Mwaka wa 1983, amekuwa Mwamerika-Mweusi[1][2][3][4][5][6] wa kwanza mwanamke kupewa taji la Miss America.[7] Juma saba kabla mwisho wa taji lake, lakini, kashfa ikatokea pale jarida la "Penthouse"  liliponunua picha za utupu zisizoruhusiwa za Williams. Akavuliwa taji na kukabidhiwa mshindi wa pili wa taji hilo Bi. Suzette Charles wa New Jersey. Williams akarudi tena akiwa na kazi kama mburudishaji, na kupata teuzi kibao za Grammy, Emmy, na  Tony Award. Mnamo September, 2015 katika shindano la Ulimbwende la America 2016, Afisa Mtendaji Mkuu wa Miss America  Sam Haskell alimuomba radhi Williams (ambaye awali alisimama kama jaji mkuu) wa kulazimisha kujiuzuru kwake mnamo 1984.

References[hariri | hariri chanzo]

  1. Singleton, Don (1983-09-18). Vanessa Williams is crowned the first African-American Miss America in 1983. New York Daily News. Iliwekwa mnamo 2015-09-14.
  2. "Vanessa Williams's ancestry revealed: One great great grandfather escaped slavery... the other was a politician who left 'a legacy more precious than gold'", Daily Mail, February 6, 2011. "Kigezo:-'As an African American growing up here in the States, there are a lot of records that we don't have.'" 
  3. "A New York Debut", People. Retrieved on February 23, 2013. 
  4. Vanessa Williams biography. The Biography Channel. Iliwekwa mnamo February 23, 2013.
  5. Wilson, Julee. "A Look Black: Vanessa Williams Crowned Miss America In 1983", The Huffington Post, September 17, 2012. Retrieved on February 23, 2013. 
  6. "Vanessa Williams", CBS News. Retrieved on February 23, 2013. 
  7. "This Day in History – Sep 17, 1983: Vanessa Williams becomes first black Miss America", History.com. Retrieved on November 28, 2010.