Valladolid

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Plaza Mayor and City Hall, Valladolid

 Valladolid ? ni mji wa Hispania mwenye wakazi 316,564. Ni mji mkuu wa jimbo la Kastilia na Leon. Kihistoria ilikuwa kati ya miji mikuu ya kitaifa ya Hispania.

Mwaka 1469 wafalme Ferdinand II wa Aragon na Isabella I wa Kastilia walifunga ndoa kwa siri mjini Valladolid na kuunda umoja wa Hispania. Kristoforo Kolumbus aliaga dunia mjini mnamo 20 Mei 1506.

Kuna mto unaovuka mju na huu unaitwa Pisuerga.

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: