Uwanja wa michezo wa manispaa ya Parakou
Mandhari
Uwanja wa michezo wa manispaa ya Parakou ni uwanja wenye matumizi mengi inayopatikana Parakou,nchini Benin. Kwa sasa unatumika mara nyingi kwa michezo ya soka na ndio uwanja wa nyumbani kwa klabu ya Dynamo Unacob FC de Parakou na Buffles du Borgou FC zinazoshiriki ligi kuu ya Benin. Uwanja huu una uwezo wa kubeba washabiki 8,000.[1]
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Maelezo ya uwanja Ilihifadhiwa 8 Januari 2012 kwenye Wayback Machine.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Stadiums in Benin". worldstadiums.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-01-08. Iliwekwa mnamo 2009-05-26.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa manispaa ya Parakou kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |