Uwanja wa michezo wa Ulundi
Mandhari
Uwanja wa michezo wa Ulundi ni uwanja wenye matumizi mengi ulioko huko, KwaZulu-Natal, Afrika Kusini. Kwa sasa unatumika zaidi kwa mechi za mpira wa miguu (soka); pia ni ukumbi mbadala wa kilabu cha AmaZulu (Afrika ya kusini)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Ulundi kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |