Uwanja wa michezo wa Ruimsig

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Ruimsig ni uwanja ambao hutumika katika shughuli mbalimbali za kimichezo uliopo Roodepoort nchini Afrika Kusini. Hutumika zaidi kwa mechi za mpira wa miguu na ulitumika pia kama uwanja wa mazoezi kwa timu zinazoshiriki Kombe la Dunia la mwaka 2010 baada ya kukarabatiwa mnamo mwaka 2009 na kukidhi viwango vya FIFA[1] .

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-10-24. Iliwekwa mnamo 2021-06-07.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Ruimsig kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.