Uwanja wa michezo wa Richards Bay

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Uwanja wa Michezo wa Richards Bay ni uwanja ambao hutuika katika kufanya shughuli mbalimbali za kimichezo huko Richards Bay, KwaZulu-Natal nchini Afrika Kusini. Hutumika zaidi kwa mechi za mpira wa miguu (soka), na kwa sasa ni uwanja wa nyumbani wa kilabu ya Thanda Royal Zulu inayoshiriki Ligi daraja la kwanza, na kwa vilabu vingine kama Mkali Stars FC na Real Classic FC vinavyoshiriki Ligi ya Ligi ya Vodacom.

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Richards Bay kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.