Uwanja wa michezo wa Potgietersrus Rugby

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Potgietersrus Rugby ni uwanja wa mchezo wa raga(rugby ) unao patikana uko Johannesburg, Afrika Kusini. Unachukua takribani watu 4,000. Siku za nyuma ulitumika kama uwanja wa nyumbani wa timu ya mpira ya Katlehong City,lakini baada ya klabu iyo kushuka daraja mwaka 2002, walihamisha uwanja wao wa nyumbani kwenda Free State jimbo la Afrika Kusini. Tangu wakati huo, uwanja huo umetumika zaidi kwa michezo ya Rugby huko Johannesburg.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Potgietersrus Rugby kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.