Uwanja wa michezo wa Pilditch

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Pilditch ni uwanja wenye matumizi mbalimbali kati ya viwanja vya maonyesho vya jiji la Pretoria lilipo kaskazini mwa Gauteng huko nchini Afrika Kusini. Unatumika kwa maswala ya mpira wa miguu(Soka) na kwa sasa unatumika kama uwanja wa nyumbani kwa timu mbili za Ligi ya Vodacom ambapo ni timu ya mpira ya Supersport united pamoja na timu ya mpira wa miguu ya Garankuwa United.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Pilditch kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.