Uwanja wa michezo wa Peter Mokaba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa michezo wa Peter Mokaba

Uwanja wa Michezo wa Mokaba ni Uwanja wa mchezo wa mpira wa miguu na uwanja wa unaomilikiwa na chama cha mchezo cha Ragby huko Polokwane, zamani ulikua Pietersburg nchini Afrika Kusini,ambapo uwanja huu ulitumika katika Kombe la Dunia mwaka 2010. Una una uwezo wa kuchukua watu takribani 45,500 lakini kwa matakwa ya Kombe la Dunia la FIFA mnamo mwaka 2010 nafasi za kukaa zilipunguzwa hadi 41,733[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. www.fifa.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2013-12-08. Iliwekwa mnamo 2021-06-07.
Sports icon.png Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Peter Mokaba kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.